Leo naileta kwenu bidhaa adimu ya Edmark iitwayo EDMARK SHAKEOFF PHYTO FIBER, kabla cjaielezea hii bidhaa tuangalie mukhtasar wa kwann EDMARKERS wakaileta bidhaa hii
UTANGULIZI
Hivi unajua kwamba afya zetu zinategemea kabisa na hali zilivyo za utumbo wetu ???
Ngoja nikujuze sasa, Pindi mtu anapoamua kuishi maisha ambayo yanahatarisha afya yake kama kula vyakula visivyo salama na maji pia yasiyo salama, ulevi uliopitiliza , uvutaji wa sigara na kutokula vyakula visivyo na faiba kama vile matunda na kadhalika , mtu huyu lazima atapatwa na matatizo katika utumbo wake
Njia yake ya kupitishia chakula itakuwa imejaa mafuta na sumu za chakula ambazo utumbo umeshindwa kuzitoa, pia lazima njia ya chakula itazungukwa na mabakteria mabaya ambayo itapelekea kuanza kusambazwa kwenye sehemu mbalimbali za mwili
Hali hii inasababisha kupata obesity ( Unene kupita kiasi ) na magonjwa hatarishi kama kansa ya utumbo ambayo inaongoza kwa kuua watu wengi ikiwa haichagui watu matajir hadi masikini pia inaweza kusababisha matatizo ya mishipa ya damu , magonjwa ya ini , magonjwa ya figo , kisukari na matatizo ya moyo
Utumbo ukiwa safi unakuwa salama kutokana na matatizo ya hapo juu kwa asilimia kubwa sana , kama unahisi una shida ya matatizo hayo niliyoyataja juu kuna uwezekano mkubwa wa utumbo wako kuwa mchafu hivyo unahitaji kusafishwa
Kuna umuhimu mkubwa wa kusafisha utumbo wetu ndiyo maana kampuni ya EDMARK INTERNATIONAL wakatuletea bidhaa hii ya SHAKEOFF PHYTO FIBER kutoka malaysia ambayo imethibitishwa kitaifa na kimataifa
SHAKEOFF PHYTO FIBER
Hiki ni kinywaji cha asili chenye uwezo kusafisha utumbo wako mpana kwa uwezo mkubwa sana
Ni kinywaji cha afya kilichotengenezwa kwa virutubisho vya asili ambavyo vina uwezo mkubwa wa kusafisha na kuondoa kabisa sumu zote kutoka kwenye utumbo na kuuacha utumbo wako ukiwa safi na wenye Afya
Imetengenezwa na virutubisho asilia hivyo kukufanya ww kutopata madhara baada ya kuitumia
Inapatikana katika ladha mbili ambazo ni
Limao
Pandani
Imetengenezwa kwa kutumia virutubisho vifutavyo
➡ Plant Fiber
Hii inasaidia kutoa hisia kamili pale unapoinywa pia inasaidia kuziondolea sumu
Inazuia kuharisha na inaongeza ufyonzwaji wa maji katika utumbo mpana
➡ Roselle
Aina hii ina vitamini C kwa wingi, kalsiam , madini ya chuma na ina viambata vya kiprotini ambavyo vinasaidia katika kuipa ngoz urembo wake wa asili
➡ Oats
Hii inafanya kazi kama sponji ambayo ni kunyonya zile lehemu mbaya (kolestro)
Ina nyuzinyuzi za kiprotini zinazosaidia kuzuia kansa ya tumbo
➡ Garcinia Cambogia
Hii inasaidia katika hatua za kupunguza unene ambayo kipindi hicho inafanya kaz ya kuondoa hamu ya kula na inaongeza kazi za mwili ili kuufanya mwili uhitaji kuyabadili mafuta yaliyozid kuwa glukosi ili itumike katika seli kujitengenezea nguvu
Kwa kazi hiyo ya hapo juu , inajikuta pia inafanya kazi ya kuweka
msawazo wa sukari katika damu na pia kuondoa lehemu mbaya
➡ Inulin
Hii inafanyakazi ya kutengeneza bakteria wazuri kama vile bifidus, Fecalis na Laclis katika utumbo
Pia inasaidia katika kuondoa kisukari kwa kuufanya mwili wako upunguze uhitaji wa mwili kuitengeneza Insulin
SIFA ZAKE
Matokeo yake ni ya haraka na inafanya kaz
ndani ya masaa 6 mpaka 8
Ina ladha nzuri ya limao na pandani
FAIDA ZAKE
✅ Inazuia kansa ya utumbo mpana
✅ Inazuia unene uliopitiliza
✅ Inaondoa lehemu mbaya
✅ Inazuia kutokea kwa chunusi ( uzuri unaanzia ndani )
Inapunguza tumbo na manyama uzembe kwa asilimia kubwa
Inapunguza uzito wa kg 3-5 kwa siku 12
Haina madhara kwa mtumiaji
Kwa maelezo zaidi wasiliana 0758768855
Sunday, December 17, 2017
Monday, September 4, 2017
Edmark Splina liquid chlorophyll
Splina liquid chlorophyll
Ni kirutubisho kinachotengenezwa kutokana na majimaji ya mmea uitwa White Mulberry Leaves. Ni chanzo kikubwa madini, vitamin, protein, trace elements, na anti-oxidants ambavyo ni muhimu sana katika kusawazisha alkalinity kwenye mwili
Kwa kawaida chakula chetu kinapaswa kuwa na acidic 20% na alkaline 80% ili mwili uwe na afya. Chakula kikiwa na acid nyingi kinapelekea mlipuko wa magonjwa mbalimbali kama kisukari, presha, lehemu, shinikizo la damu, stroke, vidonda vya tumbo nk
Edmark Splina liquid chlorophyll inasaidia kusawazisha kiwango cha alkaline mwilini
Faida zipatikanazo lwa matumizi ya Edmark Splina liquid chlorophyll
• Ni chanzo kikubwa cha virutubisho mbalimbali
• Inaongeza damu na kusaidia kuzalishwa kwa seli nyekundu kwa wingi
• Inaongeza kinga ya mwili kwa haraka na kusaidia mwili kupona kwa haraka
• Inaongeza oxgen kwenye damu na kusaidia damu kusafiri vizuri kwenye mwili
• Inaondoa uvimbe
• Inaondoa matatizo ya figo hasa vimawe vya kwenye figo na kuisaidia figo kufanya kazi vizuri
• Inaondoa makunyanzi kwenye ngozi na kuirudisha ngozi kwenye hali yake ya kawaida
• Inasaidia kubalance hormones
• Inavirutubisha viungo vya mwili kama ini kongosho na kurejesha ufanyikaji wake wa kazi wa awali
• Inasaidia kwa watu wenye mmengenyo mbaya wa chakula kukosa choo na matatizo yote ya tumbo
• Inasaidia.kupunguza uzito kwa haraka
• Inasaidia kwa watu wenye cancer stage 1,2,3
• Inasaidia kwa watu wenye magonjwa sugu kama maleria sugu, fungus sugu, UTI sugu, nk
• Inasaidia kupambana na infection mbalimbali
Watumiaji wa splina liquid chlorophyll
• Inashauriwa kutumika na kila mmoja wetu ili kujikinga na magonjwa mbalimbali
• Wenye matatizo ya kupata choo
• Wenye acid nyingi mwilini
• Wenye upungufu wa kinga mwilini
• Wenye presha
• Wenye kisukari
• Wenye vidonda vya tumbo
• Wenye matatizo ya gautina arthritis
• Wenye cancer
• Wenye shida ya ini figo kongosho
• Wenye uvimbe tumboni
• Wenyeshida za hormone imbalances
• Wenye stroke
• Wenye magonjwa ya moyo
• Wenye lehemu nyingi (high cholesterol)
• Wenye matatizo ya ngozi
Jinsi ya kutumia
Changanya vifuniko 10 kwenye lita moja na nusu ya maji unakunywa
NB
Kwa wenye magonjwa mbalimbali dozi ni tofauti
Inapatikana kwa jumla na rejareja mikoani tunatuma
Kwa maelezo zaidi na upatikanaji wa Splina liquid chlorophyll wasiliana nasi
Call 0692948695
WhatsApp 0758768855
Subscribe to:
Posts (Atom)