Pages

Friday, March 4, 2016

Bitter Melon na ugonjwa wa kisukari




LIJUE TUNDA/MBOGA LA BITTER MELON (TIKITI MAJI DUME)
Tunda/mboga hili limekuwa likitumika kwa wingi sana katika nchi nyingi za Asia kama vile Japan, India, China na Japani hii ni kutokana na uwezo wake mkubwa kutibu magonjwa sugu mwilini. Limekuwa likitumika kama tunda kwa kuzaga juice yake na kunywa au wengiene wanapika na kula kama mboga
Hadi sasa nchi kama India Japan na China kupitia viwanda vyao vikubwa duniani vinachotengeneza dawa kwa kutumia tunda/mboga

Tikiti maji dume lina uwezo mkubwa wa kutibu kabisa kisukari aina ya pili pia ina viambata vizuri ambavyo vina uwezo mkubwa wa kushusha na kusawazisha sukari. Viambata hivi ni Polypeptide-P,Vicine na Charantin ambavyo mwili ukivipokea vinatumika kama insulin mwilini. Hivyo utumiapo tunda hili kama wewe ni mgonjwa wa kisukari itakufanya sukari yako kuwa katika hali sawa na kuepuka kabisa magonjwa yatokanayo na kisukari kama vidonda sugu,kufa kwa figo,kuishiwa nguvu za kiume,kushindwa 


Pia utafiti una onesha kuwa tunda la bitter melon linauwezo mkubwa wa kuua kabisa seli za kansa za kongosho,matiti, na kansa ya tezi dume. Pia lina uwezo mkubwa wa kuua virusi mbali mbali na kupunguza maambukizi ya HIV na hivyo kuimarisha kinga ya mwili wako, Pia lina uwezo mkubwa wa kuondoa matatizo ya mmeng'enyo wa chakula na kuondoa tatizo la choo kigumu yani constipation na kukuepusha na magonjwa mengine yatokanayo na constipation hii ni kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha CELLULOSE.

Kwa ujumla bitter melon ina kiwango cha juu cha vitamin C ambayo hupambana na maambukizi ya mwili na kuondoa sumu mwilini,pia ina viini lishe vingi sana na flavonoids.

Uchaguzi wa Bitter melon uwapo sokoni
Unapochagua bitter melon hakikisha kuwa unatafuta ambalo ni gumu na halijaiva kabisa kwani yale yaliyo iva ni machungu sana yanaweza kukushinda iwe ni kwa kutengeneza juice au kwa kupika kama mboga. Chagua lenye langi ya kijani na ambalo halina njano au wekundu wowote.



tunda/Mbooga hii inatibu magonjwa yafuatayo
Kisukari kwani hushusha sukari na kutibu kabisa kisukari
Choo kigumu (constipation)
Inapandisha kinga ya mwili
Inaondoa sumu mwilini na kuboost radha ya chakula
Inafaa kwa watu wenye kansa mbali mbali
Inaliimarisha kongosho na kulirudisha katika hali yake ya kawaida na kulifanya lifanye kazi kwa ufasaa mzuri

Angalizo
Hauruhusiwe kutumia tunda hili la bitter melon kama wewe ni mjamzito kwani inaweza kuathiri kiwango cha sukari ambapo unapokuwa mja mzito unahitaji lishe ya kutosha kwako wewe na mtoto hivyo unaweza kumdhoofisha mtoto.
Watu wengi wenye kisukari wanaotumia tunda/mboga hii imeonesha maajabu yake hadi sasa.
Jitahidi kutumia tunda/mboga moja kwa asubuhi na jioni ili kuweza naimani italeta mabadiliko makubwa sana katika afya yako
Kama huna uwezo wa kupata hili tunda/mboga na huwezi kunywa kulitumia kama tunda kwa kutengenezea juice au kulipika kama mboga na tayari umesha athiriwa na kisukari unaweza nasi na tunaweza kukupatia vidonge vilivyo tengenezwa kitaalam kwa kutumia bitter melon pekee ni asilimia 100% natural kabisa na vimethibitishwa na shirika la afya pamoja na  FDA

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi
Whatspp: +255758768855
Call: +255716768855, +255692134045



LIKE AND SHARE OUR facebook page Godbless health centre 

Saturday, February 20, 2016

Vidonda via tumbo na sababu zake




VIDONDA VYA TUMBO
Ugonjwa wa vidonda vya tumbo hutokea iwapo kidonda cha ukubwa wa angalau wa nusu sentimita kitatokea kwenye sehemu yeyote ya ukuta wa tumbo au utumbo wa binadamu. Kwa kawaida tatizo hili huleta maumivu makali sana ya tumbo ingawa si lazima kila maumivu ayapatayo mgonjwa husababishwa na vidonda vya tumbo.
Tafiti zimeonesha kwamba karibu asilimia 70 mpaka 90 ya vidonda vya tumbo husababishwa na aina ya vimelea vya bakteria wajulikanao kama Helicobacter pylori. Aidha matumizi ya baadhi ya dawa za kutuliza maumivu za jamii ya Non Steroid Anti-inflamatory Drugs kama Aspirin au Diclofenac huweza kusababisha au kuongeza uwezekano wa kupata ugonjwa huu.
Kuna dhana iliyozoeleka kuwa vidonda vya tumbo huathiri zaidi mfuko wa kuhifadhia chakula yaani tumbo (stomach). Dhana hii si kweli kwani sehemu inayoadhiriwa zaidi na tatizo hili ni sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo ijulikanayo kama duodenum.
Makundi ya PUD
Kuna makundi makuu yafuatayo ya ugonjwa huu
1. Vidonda vinavyotokea kwenye mfuko wa kuhifadhia chakula yaani tumbo (Gastric ulcers)
2. Vidonda vinavyotokea kwenye sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo (Duodenal Ulcers)
3. Vidonda vinavyotokea kwenye koo (Oesophageal ulcers)
4. Vidonda vijulikanavyo kama Merckel’s Diverticulum ulcers.
Visababishi vya PUD


Vidonda vya tumbo husababishwa na
Maambukizi ya bakteria aina ya Helicobacter pylori: Imeonekana kuwa zaidi ya asilimia 50 ya watu duniani wana vimelea hivi katika utumbo. Aidha, miongoni mwao, karibu asilimia 80 huwa hawaoneshi dalili yeyote ya kuugua ugonjwa wa vidonda vya tumbo.
Aina hii ya vimelea vya bacteria husababisha karibu asilimia 60 ya vidonda vinavyotokea kwenye tumbo (gastric ulcers) na zaidi ya asilimia 90 ya duodenal ulcers.
Hali hii husababishwa zaidi na kushindwa kwa mfumo wa kinga mwilini kuwaua na kuwaondoa kabisa vimelea hawa ndani ya mwili. Matokeo ya kushindwa huku husababisha kuwepo kwa uambukizi wa kudumu katika kuta za tumbo (chronic active gastritis), uambukizi ambao huharibu mfumo na uwezo wa kuta za tumbo kutunza homoni ya Gastrin, ambayo ni muhimu katika kuhakikisha mazingira ya tumbo yanakuwa na kiwango salama cha tindikali.
Kwa kawaida, kazi ya gastrin ni kuchochea utolewaji wa tindikali (gastric acid) kutoka kwenye seli za ukuta wa tumbo zijulikanazo kama Parietal cells. Iwapo bacteria hawa watashambulia na kuharibu ukuta wa tumbo, mfumo wa gastrin pia uharibika, na hivyo kusababisha gastrin kuzalishwa kwa wingi hali ambayo pia huchochea uzalishaji wa gastric acid kwa wingi. Matokeo ya kuzalishwa kwa wingi kwa tindikali hii hupelekea kuchubuka kwa ukuta wa tumbo na hivyo kusababisha vidonda vya tumbo.
Matumizi ya muda mrefu ya dawa za kuondoa maumivu za kundi la NSAIDs: Ukuta wa utumbo hujilinda na madhara yatokanayo na tindikali ya utumbo (gastric acid) kwa kuwa na utando laini (mucus) ambao hutolewa na vichocheo vijulikavyo kama Prostaglandins. Dawa hizi za kundi la NSAIDs huharibu mfumo wa kutengeza vichocheo hivi yaani prostaglandins na hivyo kufanya kuta za tumbo kukosa utando wa kuzilinda na mashambulizi ya tindikali hali ambayo hupelekea kutokea kwa vidonda vya tumbo.
Uvutaji wa sigara: Uvutaji sigara sambamba na maambukizi ya bakteria aina ya Helicobacter pylori huongeza madhara ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo. Ifahamike tu kuwa uvutaji sigara pekee hausababishi vidonda vya tumbo.
Vyakula au viungo vya chakula vyenye uchachu: Kinyume na dhana iliyozoeleka miongoni mwa watu wengi, baadhi ya vyakula vyenye uchachu na upilipili kama vile pilipili, ndimu, limao na masala havina uhusiano na uwezekano wa kupata vidonda vya tumbo.
Watu walio katika kundi la damu la O: Imeonekana pia kwamba kundi la damu lijulikanalo kama blood group O, halina uhusiano wa kusababisha vidonda vya tumbo.
Unywaji wa pombe: Unywaji wa pombe pekee hausababishi vidonda vya tumbo. Hata hivyo, unywaji wa pombe sambamba na maambukizi ya vimelea vya Helicobacter pylori huongeza madhara ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo.
Vitu vingine: Vitu vinavyohusishwa na uongezaji wa madhara ya vidonda vya tumbo ni pamoja na upasuaji wa tumbo (major abdominal surgeries), kuungua kwa moto (burns), ugonjwa wa figo; na kubadilishwa kwa viungo vya mwili kama figo au ini.


Dalili au viashiria vya PUD
Maumivu makali au kiungulia maeneo ya chembe moyo (epigastic pains): Maumivu juu kidogo ya tumbo mara nyingi huendana na muda wa kula chakula. Mtu mwenye vidonda kwenye tumbo (gastric ulcers) hupata maumivu makali sana kipindi anapokula au mara tu baada ya kumaliza kula wakati aliye na vidonda kwenye sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo (duodenal ulcers) hupata maumivu makali anapokuwa na njaa na hupata nafuu pindi anapokula.
(i) Kuvimbiwa au tumbo kujaa gesi. Hali hii pia yaweza kuendana na kubeua au kujamba mara kwa mara.
(ii) Kucheua na kuongezeka kwa mate yanayoshuka tumboni baada ya kucheua.
(iii) Kichefuchefu na kutapika
(iii) Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
(iv) Kutapika damu
(v) Kupata haja kubwa cha rangi nyeusi au kahawia chenye harufu mbaya sana. Hii humaanisha mgonjwa anapata haja kubwa au choo kilichochanganyika na damu kwa mbali
Uwepo wa dalili kama kiungulia cha muda mrefu, kucheua na kutapika baada ya kula na historia ya kutumia dawa za kupunguza maumivu (NSAIDs) kwa muda muda mrefu bila kufuata ushauri wa daktari ni ishara tosha ya kumfanya mgonjwa kumuona daktari kumpima na kumfanyia uchunguzi ili kujiridhisha kuwa hana tatizo la vidonda vya tumbo.

Kama ukiona dalili hizo usisite kuwasiliana nasi kuweza kujipatia virutubisho vya asili vilivyothibitishwa na mamlaka ya chakula na (TFDA) na FDA toka nchini USA.

Sunday, February 7, 2016

Vidonda vya Tumbo (PEPTIC ULCERS)

VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS DISEASE)

Habari za siku mpenzi msomaji wa blog hii, ni matumaini yangu unaendelea vizuri na kufurahia blog yangu iwapo una maoni au chochote unaweza kuwasiliana Nami, pamoja na hayo leo ninazungumzia ugonjwa hatari unaowanyima raha wengi wetu kutokana na Hali halisi hivyo kuwafanya watu  kuwa wazito kutafuta dawa,




VIDONDA VYA TUMBO NI NINI???

Vidonda vya tumbo ni matokeo ya kuharibika kwa uteute wa ndani ya ukuta wa tumbo la Chakula au ndani ya utumbo mdogo wa Chakula na matokeo yake ni ukuta wa tumbo kugusana na tindikali iliyoko tumboni ambayo ni kali sana kama maji ya betri
_vidonda vya tumbo husababishwa na maambukizi ya bacteria waitwao HELICOBACTER PYLORI, aidha matumizi ya baadhi ya dawa za kutuliza maumivu za jamii ya Non_steroids anti inflammatory drugs kama vile ASPIRIN /DICLOFENAC huweza kusababisha uwezekano wa kupata ugonjwa huu,
_vidonda vya tumbo vinaweza kujitokeza katika utumbo mdogo na katika tumbo la Chakula na pia ni Mara chache huweza kujitokeza katika  koo la Chakula ambapo hapakukusudiwa kustahimili tindikali ya tumbo
_ni Ajabu tu kwamba kimelea cha HELICOBACTER PYLORI kina uwezo wa kuishi ndani ya tumbo la Chakula licha ya  tindikali iliyomo katika tumbo ni kali sana, kiasi kimelea hiki kisingeweza kuishi tumboni ila kuna sababu za kisayansi zinazofanya kimelea hiki  kustahimili tindikali na kusababisha vidonda vya tumbo

AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS DISEASE)
Kuna aina nyingi za vidonda vya tumbo navyo ni
  1. GASTRIC ULCERS ~hivi ni vidonda vinavyotokea katika mfumo wa Chakula yani tumboni
  2. DUODENAL ULCERS ~hivi ni vidonda vinavyotokea katika utumbo mdogo
  3. OESOPHAGEALS ULCERS~hivi ni vidonda vinavyotokea katika koo /koromeo la Chakula


HATUA KUU  ZA VIDONDA VYA TUMBO
  Nivizuri kufaham kwamba huu ugonjwa una hatua nne ambazo ni muhimu

  1. HATUA YA KWANZA:Hatua ya kwanza ya huu ugonjwa ni ule uvimbe sugu unaotokea sehem ya ndan ya tumbo,
  2. HATUA YA PILI: hapa vijidonda hujitokeza   sehemu zenye uvimbe na taratibu vidonda hvyo huongezeka na kua vikubwa  katika hatua hii mgonjwa hupatwa na maumivu makali ya tumbo yanayodumu kwa muda mrefu yakiambatana na kiungulia, tumbo kujaa gesi wakati wote, kukosa hamu ya kula, choo kuwa kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu, hata hvyo Hali hii ya kukosa choo kwa muda mrefu (CHRONIC DYSPEPSIA) yani kushindwa kufanya Kaz kwa mfumo wa mmeng'enyo wa Chakula kutokana na tindikali nyingi inayozalishwa tumboni huingia Kwenye mzunguko wa dam hivyo mgonjwa hujisikia uchovu na kizunguzungu cha Mara kwa Mara katika hatua hii tindikali husababisha magonjwa ya ini na Figo kwa kuwa tayar iko katika mfumo mzima wa damu 
  3. HATUA YA TATU ~hii ni hatua ambayo ni ya  hatari kwasababu vidonda vikubwa hupasua mishipa yote midogomidogo ya damu na kusababisha damu kuvia tumbon na kubadilisha rangi ya choo kuwa ya kawaida, pia damu nyingi ikivujia tumboni mgonjwa hutapika na kuharisha damu Hali hii husababisha mgonjwa kuishiwa damu Mara kwa Mara, maumivu makali ya tumbo,hupata Homa, maumivu ya viungo na kukosa hamu ya kula.
  4. HATUA YA NNE ~katika hatua saratani ya utumbo inahusika kwani katika hatua hii vidonda vya tumbo hutengeneza tundu katika tumbo au utumbo mdogo na kusababisha kuoza kwa viungo vya ndani na matokeo yake ni saratani ya utumbo

VISABABISHI VYA VIDONDA VYA TUMBO
Visababishi vya ugonjwa huu vipo vingi sana hivyo yatupasa kuviepuka ili kujiepusha na huu ugonjwa.zifuatazo ni visababishi vya ugonjwa huu
  • Utumiaji wa madawa ya kuondoa maumivu kwa muda mrefu
  • mawazo na huzuni kwa muda mrefu
  • kutokuwa na muda maalum wa kula
  • Utumiaji wa pombe uliopitiliza  
  • Utumiaji wa madawa ya kulevya nk

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
Dalili za vidonda vya tumbo ni nyingi ila sio wote wanaopata Dalili hizi Wana vidonda vya tumbo
  • maumivu makali au kiungulia maeneo ya chembe moyo (EPIGASTIC PAINS)
  • kuvimbiwa au tumbo kujaa gesi Hali hii huweza kuendana na kucheua na kujamba Mara kwa Mara
  • kutapika damu
  • mtu mwenye vidonda vya tumbo (gastric ULCERS) hupata maumivu makali pindi anapokula au amalizapo kula
  • mtu mwenye vidonda vya tumbo katika utumbo mdogo (duodenal ulcers) hupata maumivu makali pindi anapokua na njaa na akil hupata afueni
  • kupoteza hamu ya kula
  • kupata haja kubwa yenye raha ya damu Tena chenye harufu mbaya
  • kupungua uzito
  •  


MATIBABU NA JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU
~matibabu ya ugonjwa huu yanapatikana vizuri nchini mwetu ila tatzo ni tiba yenyew kutokua na wataalamu wa kutosha wa kutibu chanzo cha tatizo na kumaliza tatizo pasipo kuleta matatzo mengine kutokana na matibabu yenyew kuhusisha mfumo wa dawa za kemikal ambazo Zina madhara kwa mhusika na pia Zina maudhi mengi hivyo tiba bora kwa vidonda vya tumbo ni mlo kamili na dawa ziszo na kemikal pia tunapaswa kuepuka baadhi ya vyakula na kuzingatia masharti

MAMBO YA  KUFANYA KWA MWENYE VIDONDA VYA TUMBO
  • epuka kula vyakula vyenye viungo vingi kama vile pilau nk
  • epuka kutumia pombe
  • epuka ulaji wa vyakula vyenye sukari nyingi
  • kula Chakula kidogo kwa muda maalum
  • kula vyakula vyenye fiber yan vyakula vyenye nyuzunyuzi ambavyo ni jamii ya mbogamboga
  • tengeneneza juice juice ya kabichi na karoti ni tiba Tosha ya vidonda vya tumbo
  • epuka unywaji wa kahawa au kinywaj chochote chenye caffeine kiepuke
  • epuka vyakula vyenye ngano
  • tumia kinywaj cha Aloe-Vera hata hivyo kutokana na uchungu wake wengi wetu wameshindwa mathalani hii ni dawa kabisa ya vidonda vya tumbo


Splina na shake off phyto fiber

Shakr off na splina vimesifika sana kwa kutibu vidonda vya tumbo kwa muda mfupi
Shake off inasaidia kwenda kusafisha utumbo mpana na kusaidia mmengenyo wa chakula kuwa mzuri zaidi huondoa kila aina ya backeria wabaya wale wanaoshambulia utumbo na kuchochea ukuaji wa backeria wazuri wakali splina inasaidia kufalance acid tumboni na kuponyesha vidonda vilivyosafishwa na shake off


kwa maelezo zaidi kuhusu Nta ya nyuki
wasiliana nasi
 Call: 0716768855, 0692948695
Whatsapp: 0758768855
Email: taslytz@gmail.com