Pages

Friday, March 4, 2016

Bitter Melon na ugonjwa wa kisukari




LIJUE TUNDA/MBOGA LA BITTER MELON (TIKITI MAJI DUME)
Tunda/mboga hili limekuwa likitumika kwa wingi sana katika nchi nyingi za Asia kama vile Japan, India, China na Japani hii ni kutokana na uwezo wake mkubwa kutibu magonjwa sugu mwilini. Limekuwa likitumika kama tunda kwa kuzaga juice yake na kunywa au wengiene wanapika na kula kama mboga
Hadi sasa nchi kama India Japan na China kupitia viwanda vyao vikubwa duniani vinachotengeneza dawa kwa kutumia tunda/mboga

Tikiti maji dume lina uwezo mkubwa wa kutibu kabisa kisukari aina ya pili pia ina viambata vizuri ambavyo vina uwezo mkubwa wa kushusha na kusawazisha sukari. Viambata hivi ni Polypeptide-P,Vicine na Charantin ambavyo mwili ukivipokea vinatumika kama insulin mwilini. Hivyo utumiapo tunda hili kama wewe ni mgonjwa wa kisukari itakufanya sukari yako kuwa katika hali sawa na kuepuka kabisa magonjwa yatokanayo na kisukari kama vidonda sugu,kufa kwa figo,kuishiwa nguvu za kiume,kushindwa 


Pia utafiti una onesha kuwa tunda la bitter melon linauwezo mkubwa wa kuua kabisa seli za kansa za kongosho,matiti, na kansa ya tezi dume. Pia lina uwezo mkubwa wa kuua virusi mbali mbali na kupunguza maambukizi ya HIV na hivyo kuimarisha kinga ya mwili wako, Pia lina uwezo mkubwa wa kuondoa matatizo ya mmeng'enyo wa chakula na kuondoa tatizo la choo kigumu yani constipation na kukuepusha na magonjwa mengine yatokanayo na constipation hii ni kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha CELLULOSE.

Kwa ujumla bitter melon ina kiwango cha juu cha vitamin C ambayo hupambana na maambukizi ya mwili na kuondoa sumu mwilini,pia ina viini lishe vingi sana na flavonoids.

Uchaguzi wa Bitter melon uwapo sokoni
Unapochagua bitter melon hakikisha kuwa unatafuta ambalo ni gumu na halijaiva kabisa kwani yale yaliyo iva ni machungu sana yanaweza kukushinda iwe ni kwa kutengeneza juice au kwa kupika kama mboga. Chagua lenye langi ya kijani na ambalo halina njano au wekundu wowote.



tunda/Mbooga hii inatibu magonjwa yafuatayo
Kisukari kwani hushusha sukari na kutibu kabisa kisukari
Choo kigumu (constipation)
Inapandisha kinga ya mwili
Inaondoa sumu mwilini na kuboost radha ya chakula
Inafaa kwa watu wenye kansa mbali mbali
Inaliimarisha kongosho na kulirudisha katika hali yake ya kawaida na kulifanya lifanye kazi kwa ufasaa mzuri

Angalizo
Hauruhusiwe kutumia tunda hili la bitter melon kama wewe ni mjamzito kwani inaweza kuathiri kiwango cha sukari ambapo unapokuwa mja mzito unahitaji lishe ya kutosha kwako wewe na mtoto hivyo unaweza kumdhoofisha mtoto.
Watu wengi wenye kisukari wanaotumia tunda/mboga hii imeonesha maajabu yake hadi sasa.
Jitahidi kutumia tunda/mboga moja kwa asubuhi na jioni ili kuweza naimani italeta mabadiliko makubwa sana katika afya yako
Kama huna uwezo wa kupata hili tunda/mboga na huwezi kunywa kulitumia kama tunda kwa kutengenezea juice au kulipika kama mboga na tayari umesha athiriwa na kisukari unaweza nasi na tunaweza kukupatia vidonge vilivyo tengenezwa kitaalam kwa kutumia bitter melon pekee ni asilimia 100% natural kabisa na vimethibitishwa na shirika la afya pamoja na  FDA

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi
Whatspp: +255758768855
Call: +255716768855, +255692134045



LIKE AND SHARE OUR facebook page Godbless health centre