Pages

Sunday, December 17, 2017

Shake off phyto fiber

Leo naileta kwenu bidhaa adimu ya Edmark iitwayo EDMARK SHAKEOFF PHYTO FIBER, kabla cjaielezea hii bidhaa tuangalie mukhtasar wa kwann EDMARKERS wakaileta bidhaa hii 

UTANGULIZI
Hivi unajua kwamba afya zetu zinategemea kabisa na hali zilivyo za utumbo wetu ??? 
Ngoja nikujuze sasa, Pindi mtu anapoamua kuishi maisha ambayo yanahatarisha afya yake kama kula vyakula visivyo salama na maji pia yasiyo salama, ulevi uliopitiliza , uvutaji wa sigara na kutokula vyakula visivyo na faiba kama vile matunda na kadhalika , mtu huyu lazima atapatwa na matatizo katika utumbo wake 
Njia yake ya kupitishia chakula itakuwa imejaa mafuta na sumu za chakula ambazo utumbo umeshindwa kuzitoa, pia lazima njia ya chakula itazungukwa na mabakteria mabaya ambayo itapelekea kuanza kusambazwa kwenye sehemu mbalimbali za mwili 
Hali hii inasababisha kupata obesity ( Unene kupita kiasi ) na magonjwa hatarishi kama kansa ya utumbo ambayo inaongoza kwa kuua watu wengi ikiwa haichagui watu matajir hadi masikini pia inaweza kusababisha matatizo ya mishipa ya damu , magonjwa ya ini , magonjwa ya figo , kisukari na matatizo ya moyo
Utumbo ukiwa safi unakuwa salama kutokana na matatizo ya hapo juu kwa asilimia kubwa sana , kama unahisi una shida ya matatizo hayo niliyoyataja juu kuna uwezekano mkubwa wa utumbo wako kuwa mchafu hivyo unahitaji kusafishwa
Kuna umuhimu mkubwa wa kusafisha utumbo wetu ndiyo maana kampuni ya EDMARK INTERNATIONAL wakatuletea bidhaa hii ya SHAKEOFF PHYTO FIBER kutoka malaysia ambayo imethibitishwa kitaifa na kimataifa 

SHAKEOFF PHYTO FIBER
Hiki ni kinywaji cha asili chenye uwezo kusafisha utumbo wako mpana kwa uwezo mkubwa sana 
Ni kinywaji cha afya kilichotengenezwa kwa virutubisho vya asili ambavyo vina uwezo mkubwa wa kusafisha na kuondoa kabisa sumu zote kutoka kwenye utumbo na kuuacha utumbo wako ukiwa safi na wenye Afya
Imetengenezwa na virutubisho asilia hivyo kukufanya ww kutopata madhara baada ya kuitumia
Inapatikana katika ladha mbili ambazo ni 
Limao
Pandani
Imetengenezwa kwa kutumia virutubisho vifutavyo

➡ Plant Fiber
Hii inasaidia kutoa hisia kamili pale unapoinywa pia inasaidia kuziondolea sumu 
Inazuia kuharisha na inaongeza ufyonzwaji wa maji katika utumbo mpana 

➡ Roselle
Aina hii ina vitamini C kwa wingi, kalsiam , madini ya chuma na ina viambata vya kiprotini ambavyo vinasaidia katika kuipa ngoz urembo wake wa asili 

➡ Oats
Hii inafanya kazi kama sponji ambayo ni kunyonya zile lehemu mbaya (kolestro) 
Ina nyuzinyuzi za kiprotini zinazosaidia kuzuia kansa ya tumbo 

➡ Garcinia Cambogia
Hii inasaidia katika hatua za kupunguza unene ambayo kipindi hicho inafanya kaz ya kuondoa hamu ya kula na inaongeza kazi za mwili ili kuufanya mwili uhitaji kuyabadili mafuta yaliyozid kuwa glukosi ili itumike katika seli kujitengenezea nguvu 
Kwa kazi hiyo ya hapo juu , inajikuta pia inafanya kazi ya kuweka
msawazo wa sukari katika damu na pia kuondoa lehemu mbaya 

➡ Inulin
Hii inafanyakazi ya kutengeneza bakteria wazuri kama vile bifidus, Fecalis na Laclis katika utumbo 
Pia inasaidia katika kuondoa kisukari kwa kuufanya mwili wako upunguze uhitaji wa mwili kuitengeneza Insulin

SIFA ZAKE 
Matokeo yake ni ya haraka na inafanya kaz 
ndani ya masaa 6 mpaka 8

Ina ladha nzuri ya limao na pandani 



FAIDA ZAKE 
✅ Inazuia kansa ya utumbo mpana
✅ Inazuia unene uliopitiliza 
✅ Inaondoa lehemu mbaya 
✅ Inazuia kutokea kwa chunusi ( uzuri unaanzia ndani )
Inapunguza tumbo na manyama uzembe kwa asilimia kubwa
Inapunguza uzito wa kg 3-5 kwa siku 12
Haina madhara kwa mtumiaji



Kwa maelezo zaidi wasiliana 0758768855