Dalili za ugonjwa wa vidonda vya tumbo
Dalili zitakazokufanya ujihisi una vidonda vya tumbo ni kuchoka choka sana bila sababu maalum, kuuma mgongo au kiuno, kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsia, kizunguzungu, kukosa usingizi, usingizi wa mara kwa mara. Maumivu makali sehemu ya mwili, kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali.
Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali. Dalili zingine ni kichefuchefu, kiungulia, tumbo kujaa gesi, tumbo kuwaka moto, maumivu makali sehemu kilipo kidonda, kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kama cha mbuzi.
Kutapika nyongo, kutapika damu au kuharisha, sehemu za mwili kupata ganzi n.k. Pia dalili zingine ni kukosa hamu ya kula, kula kupita kiasi, kusahahu sahau na hasira. Kwa kweli ni vigumu kueleza maumivu yote apatayo mgonjwa wa vidonda vya tumbo hasa kwa mwenye vidonda sugu kwani hakuna hata kiungo kimoja mwilini atakachokuambia ni kizima.
Vidonda vya tumbo husababishwa na nini?
Linapokuja suala la nini husababisha vidonda vya tumbo unaweza ukapata stori nyingi bila idadi, lakini kwa kifupi kabisa; vidonda vya tumbo ni ishara za mwili kupungukiwa maji na kama matokeo ya asidi kuzidi mwilini kuliko alkaline. Vinaweza pia kuletwa na bakteria ajulikanaye kama H.Pyroli.
Vidonda via Tumbo vinatibika
Kwa kuwa asidi inavyozidi mwilini husababisha vidonda vay Tumbo na kuzaliwa kwa bacteria aina ya H.PYROL
Splina Liquid chlorophyll imekuwa ni suluhisho la Ugonjwa huu na kuwasaidia watu wengi kwa sababu zifuatazo:
- inasaidia kubalance asidi kuwa alkaline
- inamadini mengi ya zinc na magnesium ambayo yanasaidia vidonda kupona kwa haraka
- inasaidia pia kuuwa bacteria aliyepo kwenye kidonda na kuzuia asiendelee kushambulia
- inamadini mengi ambayo mwili unahitaji
- inaondoka gas tumboni
- inarekebisha mmengenyo wa chakula tumboni
Kwa maelezo zaidi na kwa mahitaji ya dawa za vidonda vya tumbo, gas kiungulia wasiliana nasi kwa 0758768855